6 months ago
Dewji Blog 22 DecWaandaaji wa Tuzo za filamu nchini washauriwa kuzingatia viwango na ubora wa kazi za wasanii
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano na kamati ya Maandalizi ya Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Nyumbani Kiswahili Film Awards Bw. Fadhil Francis Mfate akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu maandalizi ya Tuzo hizo yaliyofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni...
11 months ago
GPLTANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA
SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa Agosti, 2014 huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi nne kutoka 106 hadi 110. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Agosti 14, 2014 Ujerumani ndiyo vinara wakifuatiwa na Argentina, Uholanzi, Colombia, Ubelgiji, Uruguay, Hispania, Brazil, Switzerland na Ufaransa.
1 year ago
Mwananchi 03 FebPinda: Tanzania yashuka viwango kibiashara
>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Tanzania imeshuka kwa nafasi tisa katika orodha ya nchi zinazofanya biashara duniani zilizopo kwenye viwango vya Benki ya Dunia (WB) na kwa sasa inashika nafasi ya 145 kati ya nchi 189.
10 months ago
GPLTANZANIA YAZIDI KUSHUKA VIWANGO VYA FIFA
SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa mwezi Septemba, 2014 huku Tanzania ikishuka kwa nafasi tano kutoka 110 hadi 115. Tanzania imeonyesha kuzidi kuporomoka katika viwango hivyo baada ya orodha ya Agosti 14, 2014 kushika nafasi ya 110 ikiwa imeshuka nafasi nne kutoka ya 106. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Septemba 18, 2014 Ujerumani ndiyo vinara katika 10 bora wakifuatiwa...
11 months ago
Dewji Blog 17 AugCWT Singida yapinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida Aran Jumbe, akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho kuhusiana na tamko la chama juu ya kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
Chama cha Walimu CWT kimetoa tamko la kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa...
Post a Comment